Amos 9:13

13 a“Siku zinakuja,” asema Bwana, “wakati mvunaji atatanguliwa na mkulima,
naye mpanzi atatanguliwa na yeye akamuaye zabibu.
Divai mpya itadondoka kutoka milimani,
na kutiririka kutoka vilima vyote.
Copyright information for SwhKC